YANGA WAMSHTUKIA KICHUYA KWA HILI , SHABIKI DAMU SIMBA ATOA YA MOYONI NA SAHABIKI YANGA WAHOJI WAPI MSTAFA BATEZ>>>>>> - KASULU WADAU BLOG

Breaking

ONLINE

Thursday, November 23, 2017

YANGA WAMSHTUKIA KICHUYA KWA HILI , SHABIKI DAMU SIMBA ATOA YA MOYONI NA SAHABIKI YANGA WAHOJI WAPI MSTAFA BATEZ>>>>>>

Mshambuliaji wa timu ya taifa na klub ya Simba mwenye manjonjo tata awapo uwanja Shiza Kichuya amekuwa ndio mwiba wakati anapokuwa anacheza na Mahasimu wao wa kufa na kuzikana Yanga,

Kichuya kwa mechi 4 sasa amekiwa akipeleka dhahama langoni mwa Yanga,

Shabiki huyu wa simba auliza

Kiboko Ya Ngaya Fc,Wazee Wa Mirahaba
Wazee Wa Miamala,Mambo Ya Tigo Pesa,Airtel Money Au Mpesa N.K
Kashawafunga Mara Nne Na Kumfukuzisha Kazi Golikipa Wa Yanga Ally Mustapha Bartez...
Maskini Hata Sijui Yuko Wapi Yule Mtoto
Kichuya Huna Adabu Kweli.....
Yani Kapiga Mpira Wa Kona Mpaka Golini Na Huo Ndio Ukawa Mwisho Wa Bartez....
Anapenda Sana Kucheza Na Kijiji.....
Kama Ni Mapenzi Au Ni Kazi Basi Huyu Dogo Huwa Anaitendea Haki Kazi Yake....
Yuko Wapi Ally Mustapha Ndugu Zangu???

No comments:

Post a Comment