WEMA SEPETU LEO AFIKISHWA MAHAKAMANI KUJIBU KESI INAYOMKABILI , JE NA YEYE KUSOTA JELA KWA MUDA USIOJULIKANA!!!??? TWENDE PAMOJA - KASULU WADAU BLOG

Breaking

ONLINE

Wednesday, November 1, 2017

WEMA SEPETU LEO AFIKISHWA MAHAKAMANI KUJIBU KESI INAYOMKABILI , JE NA YEYE KUSOTA JELA KWA MUDA USIOJULIKANA!!!??? TWENDE PAMOJA



November 1, 2017 Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imepokea kielelezo cha hati ya ukamataji mali nyumbani kwa Wema Sepetu anayekabiliwa na kesi ya kutumia dawa za kulevya. Uamuzi huo umetolewa na Hakimu Mkazi Mkuu, Thomas Simba baada ya wakili wa serikali, Elizabeth Mkunde kusema kesi hiyo imeitishwa kwa ajili ya kutolewa uamuzi.

No comments:

Post a Comment