VITUKO UWAJANI MAJINA YA TIMU LIGI KUU VODACOM, SIMBA NA YANGA ZATIA KICHEFU CHEFU>>>> - KASULU WADAU BLOG

Breaking

ONLINE

Saturday, November 18, 2017

VITUKO UWAJANI MAJINA YA TIMU LIGI KUU VODACOM, SIMBA NA YANGA ZATIA KICHEFU CHEFU>>>>

Mashabiki wa timu za VPL ameanza vituko baada ya kila mmoja kutaja A.K.A ambayo inatumika katika klub ya mwenzake,

Na mambo yalikuwa hivi,

Majina ya timu za Tanzania na A.K.A zake
1. Yanga - WAKIMATAIFA
2. Mbeya City - koma kumwanya
3. Mtibwa sugar - wakata miwa
4. Azam FC - lambalamba
5. Lipuli fc - Faru hengo
6. Majimaji - wanalizombe
7. Kagera sugar - wanamkurutubi
8. Ndanda fc - wanakuchele
9. Tanzania prison - WAJELAJELA
10.Simba sc - MBUMBUMBU /wamatopeni /wamchangani/Mikia

JE WEWE TIMU YAKO IPO NAMBA NGAPI?

No comments:

Post a Comment