SIMBA YAZIDI KUVUNJA MWIKO KANDA YA ZIWA , BOCCO ATENDA MIUJIZA HII>>>> - KASULU WADAU BLOG

Breaking

ONLINE

Saturday, November 18, 2017

SIMBA YAZIDI KUVUNJA MWIKO KANDA YA ZIWA , BOCCO ATENDA MIUJIZA HII>>>>

Klub ya simba iliyoanzishwa miaka ya 1936 na yenye jumla ya vikombe vya ligi kuu Tanzania Bara Mara 17 wamekuwa wakikanyaga kanda ya ziwa wanaangushiwa kichapo.

Ila kwa sasa imekuwa kinyume pale ambapo ameifunga klub ya Prison goli 1. -0 dakika za lala salama huko mkoani mbeya.

Simba wamechukua point zote sita mkoani Mbeya baada ya kuanzia kuwafunga  mbeya city idadi kama hiyo ambayo leo wameifanyia Tanzania Prison

Haongera sana simba

No comments:

Post a Comment