Klubu ya simba huenda ikamrudisha kundini Golikipa wao wa zamani ambae aliwapa mafanikio makubwa kabla ya kujiunga na Yanga mwaka 2008 na baadae kurudi tena msimbazi baada ya kucheza misim miwili Yanga ,
Kaseja ndie alikuwa Tanzania One ambae alikuwa kipenzi cha Wanzania aidha Kaseja ndie golikipa ambae hata sahaulika katika historia za vitabu vya wana msimbazi kwa kuwa yeye alifanikiwa hata kufunga magoli pindi alipokuwa akicheza Simba,
Kaseja kwa sasa ni kila namba moja katika klub ya Kagera Sukari iliyoko mkoani Kagera na ndie kocha wa makipa, Simba huenda wakaitaka Saini yake ili aendelee kuwa kocha wa makipa pale Msimbazi.
Karibu.

No comments:
Post a Comment