Klub ya Lipuli imepania kuilaza club ya Simba katika uwanja wa Uhuru kesho kubwa, Lipuli ambayo INA Msimu mmoja ndani ya ligi KUU ya vodacom Tanzania bara inaongozwa na mchezaji wa zamani Selemani Matora ambae alikuwa mshambuliaji hatari wa Klub ya simba.
Lipuli ambao hawajawahi kucheza na Simba wanaingia wakiwa hawana historia yoyote tofauti na kusikia habari za klub ya Simba ya kufunga magoli mengi kwenye mechi tofauti tofauti,
Simba kwa upande wao wamesema kwao kila mechi ni sawa na fainal kwa kuwa wao mbio zao ni kutafuta ubingwa tu, Simba huenda wakaanzisha kikosi kamili ambacho kitakuwa molali ya ushindi,
Audha wapinzani wao Yanga watakuwa katika uwanja wa chamanzi kuwakabili wenzao Tanzania Prison.
Karibu

No comments:
Post a Comment