Baada ya club Simba hapo jana kuingia uwanjani kufanya mazoezi mashabiki wa timu hiyo walijitokeza Kwa wingi sana kitu ambacho kilipelekea baadhi ya shabiki kubaki nje,
Chanzo chetu cha habari kimetujuza kuwa huenda wakaingia mashabiki wengi kuliko uwezo wa uwanja huo na tusubili tuone nini kitakacho tokea.
Chanzo chetu cha habari kimetujuza kuwa huenda wakaingia mashabiki wengi kuliko uwezo wa uwanja huo na tusubili tuone nini kitakacho tokea.
No comments:
Post a Comment