Klub ya wekundu wa msimbazi simba inatarajiwa kuwapoke straika kutoka majuu kwa ajili ya kuitumikia timu hiyo ya mtaa wa msimbazi, Simba ambao kikosi chao kinaimalika siku hadi sasa wamwamua kutoka kimataifa kitafuta strika matata kutoka Australia.
Yanga wao bado kabisa wanapulia milija baada ya Kocha wao mkuu Lwandamina kutimkia kwao Zimbabwe na hajajulikana atarudi lini.
Kasulu wadau blog
Yanga wao bado kabisa wanapulia milija baada ya Kocha wao mkuu Lwandamina kutimkia kwao Zimbabwe na hajajulikana atarudi lini.
Kasulu wadau blog
No comments:
Post a Comment