SAMATTA ATELEKEZWA HOSPITAL HUKO UGAIBUNI, AFANYIWA UPASUAJI WA GOTI LAKE, STARS WAMFUMBIA MACHO>>>> - KASULU WADAU BLOG

Breaking

ONLINE

Saturday, November 11, 2017

SAMATTA ATELEKEZWA HOSPITAL HUKO UGAIBUNI, AFANYIWA UPASUAJI WA GOTI LAKE, STARS WAMFUMBIA MACHO>>>>

Mshambuliaji wa kimataifa kutoka Tanzania Mbana Samatta amefanyiwa upasuaji katika goti lake la mguu wa kulia, Mshambuliaji huyo ametoa neno kuelekea mechi ya Tanzania vs Benin, Amewaasa kujituma sana uwanjani ili kupata  matokeo mazuri.

Nahodha huyo wa timu ya taifa Tanzania na mshambuliaji hatari wa klub ya Genk ya huko Uberigiji mesema anaendelea vizuri licha ya kukaa nje miezi 2 akiuguza majeraha yake.

Kasulu wadau blog

No comments:

Post a Comment