Club ya Simba itafanya viziri katika mchezo wao dhidi ya mahasimu wao Mbeya city endapo John Bocco na Okwi watacheza pamoja.
Hata ivo ikumbukwe kuwa Bocco amekuwa sio chaguo la kwanza la Kocha Kwa muda wa miezi miwili iliyopita,
Ikumbukwe kuwa endapo Omong hatafanya vizuri huenda ukawa ndio mlango wa kutokea kuelekea kwao.

No comments:
Post a Comment