ROBINHO APIGWA MIAKA 9 JELA KESI YA UBAKAJI , TIZAMA HAPA>>>> - KASULU WADAU BLOG

Breaking

ONLINE

Friday, November 24, 2017

ROBINHO APIGWA MIAKA 9 JELA KESI YA UBAKAJI , TIZAMA HAPA>>>>

Mshambuliaji wa kimataifa wa Brazil na mchezaji wa zamani wa Real Madrid, Manchester City na AC Milan Robinho amehukumiwa kifungo cha miaka 9 gerezani Kwa kosa la Ubakaji.

Robinho na wenzake wanna wamekutwa na hatia ya kumbaka na kumnyanyasa kimapenzi binti wa miaka 22 raia wa Albania katika klabu ya usiku jijini Milan Italia mwaka 2013.

Robinho mwenye  miaka 33 hivi sasa anaichezea Atletico Mineiro ya Brazil amekumbana na hukumu hiyo Leo Alhamisi japokua yeye mwenyewe hakua mahakamani jijini Milan na aliwakilishwa na mwanasheria wake.

Binti aliyekumbana na kadhia hiyo ametakiwa kulipwa paundi 53,432 lakini Mwanasheria wake tayari amekata rufaa kupinga hukumu hi

Karibu.

No comments:

Post a Comment