KIKOSI CHA SIMBA KILICHOFIKA FAINAL ZA LIGI YA MABINGWA AFRICA, NA SIRI YAFICHUKA KUTOKUFANYA VIZURI KWA SASA>> - KASULU WADAU BLOG

Breaking

ONLINE

Friday, November 24, 2017

KIKOSI CHA SIMBA KILICHOFIKA FAINAL ZA LIGI YA MABINGWA AFRICA, NA SIRI YAFICHUKA KUTOKUFANYA VIZURI KWA SASA>>

Kama Ni Kaburi Basi Hili La Mwisho Kwa Wiki Hii,Na Hili Maalum Kwa Wahenga Kama Sisi...
Wachache Ndio Watakaoijua Simba Hii,Lakini Musijali Nitawatajia Mmoja Baada Ya Mwengine....
Waliosimama Kutoka Kushoto Ni Daktari Wa Timu Rashidi Msemakweli,Golkipa Abdalla King Kibaden,Often Martin,Razzak Yussuph (Careca),George Martin,Iddi Suleiman,Damian Kimti,Abdul Mashine,George Magere Masatu,Etienne Eshete Na Mzee AbdulRahman Muchachos....
Waliochuchuma Kutoka Kushoto Ni Kasongo Athumani,Selemani Pembe,Edward Chumila,Dua Said,Fikiri Magoso,Malota Soma Na........
Nyie Nitajieni Huyo Golikipa Tuuuu
Hii Ni Kwa Wahenga Wenye Simba Yao Kipindi Hiyo.....

No comments:

Post a Comment