MATOKEO YA MJOMBE MJI VS NDANDA HAYA HAPA , CLICK HAPA UYATAZAME>>> - KASULU WADAU BLOG

Breaking

ONLINE

Friday, November 24, 2017

MATOKEO YA MJOMBE MJI VS NDANDA HAYA HAPA , CLICK HAPA UYATAZAME>>>

Round ya 11 imeendelea leo kwa kuzikutanisha timu mbili ambazo ni Mjombe mji 1- 1 Ndanda   mpaka dk ya 90 timu zote mbili zilikuwa tayari zimeshafungana.

Baada ya mechi  macho wa timu zote mbili tuliweza kuzungumza nao,

Nao walisema,

"Haikuwa kazi rahisi kupata point moja, hivyo tu namshukuru Mungu kwa kutuwezesha tukapambana na kupata point hiyo japo kila mmoja alikuwa akisaka point tatu ili kusonga mbele"

Karibu

No comments:

Post a Comment