NGOMA AREJEA BONGO KWA MBWEMBWE , ATOA SABABU ZA KUTOROKA KAMBI YANGA>>>> - KASULU WADAU BLOG

Breaking

ONLINE

Monday, November 27, 2017

NGOMA AREJEA BONGO KWA MBWEMBWE , ATOA SABABU ZA KUTOROKA KAMBI YANGA>>>>

NGOMA NDIE INJINI YA YANGA

wako ndugu zangu ambao hubisha kila kitu,wao wana uwezo hata wa kubishia kivuli chao.
Ndio maana soka letu kila kukicha tunaporomoka badala ya kupanda.Leo tuko nafasi ya 142 tukipitwa hata na Uganda.

NGOMA kuondoka na yanga yake.Tangu akache kambi na kuondoka,YANGA wamekuwa akishindwa kwa mbinde,tena kwa ushindi mwembamba kama kitambaa cha  chupi.

Ngoma anaidai yanga mishahara kadhaa,amechoka kuvuja jasho lake kuwanufaisha mabwenyenye wayanga.

Kuna uwezekano ngoma Akahamia Simba na kuungana na #niyonzima

Leo hii kila mechi kwao ni ngumu,na ndio wanaoongoza kwa kusema timu kipindi hiki zimejiandaa sana

Pesa za kuhonga timu ndogo na kuhonga marefa hawana,kulipa mishahara imekuwa mbinde
Big up!!!!!!

No comments:

Post a Comment