MAKOCHA WA SIMBA NA YANGA WENYE UCHUNGU NA TIMU ZAO , WASEMA WAPEWE TIMU HIZO WAZIFIKISHE MBALI ,CLICK HAPA UWAFAHAM>> - KASULU WADAU BLOG

Breaking

ONLINE

Monday, November 27, 2017

MAKOCHA WA SIMBA NA YANGA WENYE UCHUNGU NA TIMU ZAO , WASEMA WAPEWE TIMU HIZO WAZIFIKISHE MBALI ,CLICK HAPA UWAFAHAM>>

MAKOCHA WA SIMBA NA YANGA WENYE MAKHABA NA TIMU ZAO


*MAKOCHA* *AMBAO* *NI* *WANACHAMA* *WA* *SIMBA*

*ABDALAH* *KIBADENI*
Huyu alikuwa kocha wa kagera sugar wamekutana na Simba Mara tatu na zote Simba kapigwa

*JULIO* *KIWELU*
huyu alikuwa kocha wa mwadui fc wamekutana na Simba Mara mbili na zote walitoka draw


*SELEMANI* *MATORA*
Huyu mpaka sasa ni kocha mkuu wa lipuli fc wamekutana na Simba Mara moja na wame draw


*TUNAKUJA* *KWA* *UPANDE* *WA* *YANGA*

*BONIFACE* *MKWASA*
huyu alikuwa kocha mkuu wa ruvu shuting  wamekutana Mara tatu na yanga na zote yanga kashinda

*FREDY* *MINZIRO*
Huyu alikuwa kocha mkuu wa jkt ruvu wamekutana Mara nne na yanga zote yanga kashinda

*CHARLES* *KILINDA*
Huyu alikuwa kocha mkuu wa jkt ruvu amekutana na yanga mara tatu na zote yanga kashinda


*KWATAKWIMU* *HIZO* *NINI* *MAANA* *YAKE*
Maana yake ni kwamba  ukiwa shabiki wa yanga kuisaliti YANGA hakuna kwakuwa unaipenda yanga kutoka moyoni

*HILA* *KWAUPANDE* *WASIMBA*
mashabiki wengi wa Simba ni wanafki hawaipendi Simba kutoka moyoni
Wanapenda kwa mambo matatu
1) wapo kwa maslai yao binafsi
2) wapo kwakuwa hawanatimu nyingine ya kushabikia
3) wapo na wao waonekane ni watu wa mpira


No comments:

Post a Comment