NA HUYU NDIE MANARA NA AMSHA AMSHA YAKE,SASA FUATILIA - KASULU WADAU BLOG

Breaking

ONLINE

Wednesday, November 1, 2017

NA HUYU NDIE MANARA NA AMSHA AMSHA YAKE,SASA FUATILIA

Manara hana tatizo ,ila tatizo ni maneno yake, timu yeyote duniani huwa inawasemaji wa club husika lakini ninamna gani wanasema kuhusu club yao,maana unapopewa kuwa msemaji lazima uhabarishe na kupitia kuhabarisha lazima kwanza unahabarisha katika vitu vikuu viwili muhimu
1.KUONGEZA WANACHAMA NDANI YA CLUB

2.KUTOA BURUDANI KWA WAPENZI NA MASHABIKI WA CLUB

TUANGALIE

1.KUONGEZA MASHABIKI.-msemaji wa club husema Mara nyingi katika maana ya kuhakikisha anaongerea na kuhabarisha timu yake I we kivutio hata kwa wanachama na wachezaji na viongozi ili wapate raha na hamasa ya kujiunga club,hapa ndo utakuta msemaji anaongea hadi uongo ili ionekane club haina tatizo lolote hata kama inalo

2.KUTOA BURUDANI-msemaji wa club yeyote razima awe na vionjo katika namna anavyosema ili watu wafurahi maneno na mbwembwe zake ,lakini lazima katika  kusemasema AWE NA AKIBA YA MANENO SIYO KUROPOKA AONEKANE ANAONGEA NA BADALA YA KE MWISHO WA MECHI AIBU.

MANARA ,NIMSEMAJI LAKINI ANATATZO LA KUONGEA NA KUSAHAU ANAONGEA NINI NA BADALA YAKE CLUB NA YEYE WANAONEKANA MAPOYOYO KWASABABU MSEMAJI KASEMA ,HATA MWENYEKITI PIA HANA UWEZO WA KUMSEMEA,MANARA HUWA NI BURUDANI JINSI ANAVYOAMSHA POPO LAKINI MANENO YAKE HUWA YANAIPONZA CLUB

ANGALIA WAKINA THOBIS KIFALU HUWA WAJANJA SANA WANAPOONA WANAKUTANA NA CLUB NGUMU ILA WAKIJUA WANAKUTANA NA TIMU WANAONGEA UNAWEZA KUWAPIGA NGUMI

HIVYO MANARA WAMSHAURI PIA MANENO MANENO AACHE AFIKIRIE KUIJENGA TIMU

No comments:

Post a Comment