Klub ya Man City ni moja kati ya vilab vinavyoshiliki ligi ya mabingwa Barani ulaya, Man City kwa sasa inawachezaji wazuri na wanaojituma uwanjani.
Man City wanaongoza ligi KUU wingereza wakiwa na jumla ya point 34 na wakiwa wametoka sare moja tu,
Leo wanashuka dimbani kukipiga na FB kitu ambacho kocha wa Man City anategemea kuwapumzisha baadhi ya nyota wake Muhimu kwa kuwa tayari ashafuzu hatu ya 16 bora.
Karibu.

No comments:
Post a Comment