ATIMIZA MIAKA 5 BILA KUSHUHUDIA TIME HII IKIBEBA NDOO YA UBINGWA LIGI YA VODACOM TANZANIA BARA LICHA YA KUSHILIKI KILA MWAKA , JE UNAMFAHAM - KASULU WADAU BLOG

Breaking

ONLINE

Wednesday, November 1, 2017

ATIMIZA MIAKA 5 BILA KUSHUHUDIA TIME HII IKIBEBA NDOO YA UBINGWA LIGI YA VODACOM TANZANIA BARA LICHA YA KUSHILIKI KILA MWAKA , JE UNAMFAHAM

David azala Madambo, ni mtoto mwenye umri wa miaka mitano, licha ya kushuhudia Yanga wakibeba ubingwa mara tatu , sasa asema kashuhudia Simba waking'oa viti tu uwanja wa taifa.

Nilipoongea na mtoto huyu nikitaka kujua kwanini anashabikia Yanga , Alijibu kuwa Yanga ni timu inayofanya vizuri na ndio kitu pekee kinachomfanya mpaka leo aipende Club hiyo.

No comments:

Post a Comment