MIMBA ZA UTOTONI GUMZO NA JAMII YAASWA KUSHIKANA MKONO KUOKOA JAHAZI>> - KASULU WADAU BLOG

Breaking

ONLINE

Wednesday, April 4, 2018

MIMBA ZA UTOTONI GUMZO NA JAMII YAASWA KUSHIKANA MKONO KUOKOA JAHAZI>>

jamii yatakiwa kuungana pamoja  mapambano dhidi ya mimba mashuleni.

Na shahidu kyagulani  miseny kagera

Hivi karbuni,wilaya misenyi imekumbwa,na kashifa ya mimba mashuleni,hasa kwa watoto wa shule za sec.jambohilo liliweza kuwasutua,wengi,akiwemo wanasiasa,taass,na watu binafs.mkuu wilaya misenyi,kanal denis mwili,aliwataka wananchi,kukemea vitendo hivi kwa pamoja.naye mkt halmashaur wilaya misenyi,porojestus tegamaisho,moja ya vikao vya baraza la madiwani,wahamashaur hiyo.ailiweza kukerwa na vitendo hivyo.kufatia hilo kasulu wadau.iliamua kuwatafta wadau,mbalmbal,akiwemo,walimu,wazazi,na,wanafunzi,wenyewe.moja ya changamoto zilzo bainika na chombo hiki,ni kua hakuna ukarbu wa kutosha,baina ya wazazi,au walez,na wanafunzi,sanjari na walimu.wanafunzi ambao hawakta majina yao,kurushwa hewani,wamesema,wapo baadhi ya wazazi,ambao humalza zaidi ya myez 6 bila ya kujua hali na mwenendo wa mwanafunzi.sababu nyingne ni kua panakuepo na vishawishi,toka kwa baadhi ya walimu,ambao huwarbuni,wanafs wakat flani kua watawasaidia kimasomo,na hushutkia mwanafunz analazmka kufanya mapenzi.pia sababu,nyingne ni kwa baadhi ya mabint wanao toka mwendo wa mbali hulazimika kupanga mitaani na kukabiliwa na changamoto kubwa,ya kupata vishawishi.mzaz mmoja aliongea na blog hii,kua,kutokuepo na ushirkiano wa pamoja,kati ya walmu,wazazi,na wanafunzi,nichanzo kinachosababisha,kuongezeka kwa matukio hayo.kwapamoja wadau hao walitaka serkal kuwabana wote watakao husika kumalza kesi kienyeji kati ya bint,na pande 2 wazazi na anaye  tuhumiwa kutenda tendo hilo.zaidi ya matukio ya mimba 26,zmerpotiwa,wilayani misenyi,kipnd cha mwaka mmoja,na  ktuo hiki kinatafta kubaini ni shule ipi inayo ongoza ili kuweza kuisaidia serkal wilayani hapo.

No comments:

Post a Comment