HATMA YA YANGA MIKONONI MWA CAF, NI KUHUSU DROO YA KOMBE LA SHIRIKISHO>> - KASULU WADAU BLOG

Breaking

ONLINE

Wednesday, March 21, 2018

HATMA YA YANGA MIKONONI MWA CAF, NI KUHUSU DROO YA KOMBE LA SHIRIKISHO>>

Leo ndiyo ile siku iliyosubiriwa kwa hamu na Watanzania wengi kujua Yanga itapangwa na nani kwenye michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika.

Yanga ndiyo timu pekee iliyosalia kwenye mashindano ya kimataifa baada ya Simba kuondolewa na Al Masry SC ya Misry.

Licha ya Yanga kuondoshwa Ligi ya Mabingwa Afrika kumeababisha isalie katika Caf Confederatio Cup ambapo Droo inachezeshwa leo Machi 21 2018.

Droo hiyo itachezeshwa majira ya mchana ikihusiha upangaji wa timu zitakazokutana kwenye michuano hiyo.

Baadhi ya timu zilizopo ni USM Algier, Raja Cassablanca, Al Masry SC na Enyimba.

No comments:

Post a Comment