#Team_futa_delete_kabisa
Sports update Bwaji Deo
Na Masau Bwire
Kwa bahati mbaya sana, timu yetu pendwa imetolewa katika mashindano ya FA baada yakufungwa na Majimaji ya Songea katika uwanja wa Majimaji, Songea goli 2-1!
Ni mpira, ndivyo ulivyo, utacheza lkn kama si riziki, utaliwa tu hata na Kibogoyo! Jana, pamoja na ugumu wote ule, Kibogoyo katutafuna!
Mwanaume kamili, akipigwa anajipanga kupiga, kama si aliyempiga basi, atapiga wa mbele yake!
Mbele yetu yupo yule wa pale K'Koo, ni mkali kwa sasa lakini tumejizatiti kumpiga. Tutampiga kistaarabu sana, teknolojia ya juu sana katika kumpiga itatumika. Amini tutampiga, tutampiga kisayansi, teknolojia ipi tutaitumia, njoo ushuhudie mwenyewe, Feb 4, 2018, uwanja wa Taifa, Dar!
Ni vigumu kuamini, lakini jiwe kutoka kombeo la Daud linakwenda kuliangamiza jitu la miraba minne, Goriath!

No comments:
Post a Comment