- Kusajiliwa kwa straika huyo kutoka Msumbiji aliyepewa mkataba wa miaka miwili kama ilivyokuwa kwa beki wa kati kutoka Ghana, Asante Kwasi aliyekuwa akiichezea Lipuli FC, kumeongeza mzuka kwa mashabiki wa vinara hao wa Ligi Kuu Bara.
- Ujio wa streka huyo mpya kutoka Msumbiji ametua msimbazi na kuleta ushawishi mkubwa kwa viongozi wa wekundu hao wa msimbazi pamoja na mashabiki wa timu hiyo kwani streka huyo wa Msumbiji ni hodari wa kufumania nyavu
Kwani ameshiliki Mazoezi leo Asubuhi na kuonyesha uwezo mkubwa mno.
No comments:
Post a Comment