MASIKINI STARS HIKI NDICHO KINACHO WAANGUSHA UWANAJANI>> - KASULU WADAU BLOG

Breaking

ONLINE

Tuesday, December 12, 2017

MASIKINI STARS HIKI NDICHO KINACHO WAANGUSHA UWANAJANI>>

Licha kukosekana kwa mastaa kama Samatta , Msuva na wengine ambao hawakuitwa katika kikosi hicho cha timu ya taifa, Inasemakana kuwa timu haipati mahitaji mazuri .

Always Next Time Pole Sana Kaka Ammy Minje
Wachezaji Wa Kibongo Hawafundishiki Kama Utatumia Kingereza Sana,Hawa Ulitakiwa Uwaambie Kisela Sela Tu Na Uwaache Wacheze Wanavyojua,Hawa Wachezaji Wetu Anaewaweza Ni Selle Matola Au Jamuhuri Kiwelo "Julio".

Wewe Hadhi Yako Ni Ya Manchester City Kama Pep Gadiola,Kwa sababu Kule Raheem Sterling Hajui Sana Kiswahili..

Julio Angepigana Nao Hata Makonde Na Timu Ingepata Matokeo,Rudi England Uje Ujipange Upya Na Pole Sana Kwa Kuchafua CV Yake Kwa Kazi Ya Kujitolea,Hao Watoto Wa Uswazi Wanakwenda Ki Uswazi Uswazi Tu

Acha Kesho Warudi Tu Na Mabasi Ya Taqwa Na Bora Washukie Kibaha Huko,Maana Kama Pale Ubungo Sijui Kama Watakubali Kushuka.

But Any Way Always Next Time Babu
Kila La Kheri

No comments:

Post a Comment