MAKOCHA SIMBA NA YANGA WAITAMANI ZANZIBAR HEROES >> - KASULU WADAU BLOG

Breaking

ONLINE

Sunday, December 17, 2017

MAKOCHA SIMBA NA YANGA WAITAMANI ZANZIBAR HEROES >>

Zanziba Heroes ambayo ipo dimban leo kuminyana na wenyeji Kenya kwenye mashidano ya Cecafa ilifanikiwa kutinga katika hatua ya final baada ya kuwapiga au kuwatupilia nje timu ya taifa ya Uganda kwa jumla ya magoli mawili kwa bilia.

Uganda ambayo ilikuwa haijawahi kufungwa na timu ya Zanzibar kwa jumla ya mechi 23 ambazo zote Uganda alikiwa akishinda ila safari hii ilikuwa kinyume pale tuliposhuudia wakitupwa nje ya final hizo za Cecafa.

MAKOCHA wa simba na yanga wameanza kuvizia wachezaji wanaochezea ndani ya timu hiyo amba iko mjini Machako huko Kenya,

Tusubili tuone watafanya nini ulo

No comments:

Post a Comment