HESABU ZA OMONG ZAIKWAMISHA SIMBA PALE CHAMANZI DHIDI YA GREEN WORRIOS , AWAKATISHA TAMAA MASHABIKI - KASULU WADAU BLOG

ONLINE

Saturday, December 23, 2017

HESABU ZA OMONG ZAIKWAMISHA SIMBA PALE CHAMANZI DHIDI YA GREEN WORRIOS , AWAKATISHA TAMAA MASHABIKI

Simba imevuliwa ubingwa wa Kombe la Shirikisho baada ya kufungwa kwa penalti 4-3 dhidi ya Green Worriors inashiriki Ligi Daraja la Pili.

Mechi hiyo iliyochezwa kwenye Uwanja wa Azam Complex, iliisha kwa sare ya mabao 1-1 kwa dakika 90.

Baada ya hapo iliamualiwa kwa mikwaju ya penalti na wachezaji watatu wa Simba, Muzamiru Yassin, Hussein Zimbwe ’Tshabalala’ na Jonas Mkude walikosa penalti zao.


Kipa Aishi Manula wa Simba na Shabani Dihile walijipangua mikwaju ya penalti

No comments:

Post a Comment