ASANTE KWASI AMRITHI MWANJALI SIMBA
-Baada ya klabu ya Simba kuachana rasmi na beki wao Method Mwanjale sasa nafasi ya Mwanjale itazibwa na beki wa kimataifa wa Ghana Asante Kwasi aliyekuwa anaichezea klabu ya Lipuli Fc ya Iringa.
-Habari za kuaminika kutoka kamati ya usajili ya klabu ya Simba tayari walishamalizana na Beki huyo na amesaini kandarasi ya miaka miwili kuichezea klabu ya Simba Sc.
-Mwenyekiti wa kamati ya Usajili ya klabu ya Simba Zacharia Hanspope alipoulizwa kuhusu kumsajili Asante Kwasi alisema
" Nyie Tulizeni Boli kwanza december 15 tutangaza wachezaji walioachwa na wachezaji wapya tuliowasajili, Hatutaki kelele sisi kama wale wengine kazi yetu kama kamati ni kuhakikisha alichosema mwalimu tunakitimiza kwa asilimia 100"
Alisema Hanspope.

No comments:
Post a Comment