Kocha Joseph Omog amekwenda kwao, amerejea Cameroon baada ya kufutwa kazi kutokana na kuvuliwa ubingwa wa Kombe la Shirikisho wa Azam Sports.
Lakini amevuliwa ubingwa huku akiwa shujaa wa Simba kuirejesha kucheza michuano ya kimataifa na pia kurejea kuwa mpinzani mkubwa wa Yanga baada ya miaka minne ya unyonge na Azam FC kuchukua nafasi yake.
Picha hii exclusive ya Omog akiondoka Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam.
No comments:
Post a Comment