Afisa Habari wa shirikisho la soka nchini amewaomba Radhi WaTanzania wote kwa matokeo mabaya Ya timu ya kilimanjaro stars iliyoyapata katika kombe la cecafa huko nchini kenya
Lucas amesema kupitia matokeo hayo wamejifunza kitu kwani watajipanga upya mwakani ili wafanye vyema .
Lucas amesema mpira ni mchezo wa ajabu sana kwani unamtokeo ya kikatili sana lakini ndio hivyo ishatokea wanaomba radhi kwa WaTanzania wote .
kilimanjaro stars imepokea
Vichapo vitatu kwenye mashindano hayo
Ilidunguliwa 2_1 na Zanzibar ilitoa sare 0_0 na libya Huku ikichapwa na kenya pamoja na Rwanda .

No comments:
Post a Comment