YANGA KUSHUSHA JESHI LAKE LOTE LEO PALE CHAMANZI , PRISON WAAPA KUFANYA HILI LEO>>>> - KASULU WADAU BLOG

Breaking

ONLINE

Saturday, November 25, 2017

YANGA KUSHUSHA JESHI LAKE LOTE LEO PALE CHAMANZI , PRISON WAAPA KUFANYA HILI LEO>>>>

Klub ya Yanga leo inatarajia kubadilisha kabisa kwa kumuanzisha Mrund Hamid Tambwe na kumpiga bench Emanuel martin, Yanga  huenda akaanza na mfumo wa 3 : 3 : 2 : 2 kwa kile kocha anachodai kuwa na timu yenye uwezo makubwa wa kucheza UWANJANI.

Leo tunategemea kuona mabadiliko makubwa kwenye eneo la Mshambuliaji.

Tanzania prison wao watacheza kwa tahadhari kubwa ili kuwahalibia wapinzani wao mipango watakayokuwa nayo,

Hata hivi Tanzania prison anaingia kupambana na magwiji hao wa soka wakiwa na historia ya kulazwa nyumbani kwao goli moja dhidi ya Simba sc ya Jijini dares slam.

Karibu.

No comments:

Post a Comment