YANGA KUIUA SINGINDA UNITED NDANI YA DAKIKA 10,AJIBU AWAAHIDI MASHABIKI WAKE ATAPIGA GOLI NNE ,SINGIDA WALONGA>>> - KASULU WADAU BLOG

Breaking

ONLINE

Saturday, November 4, 2017

YANGA KUIUA SINGINDA UNITED NDANI YA DAKIKA 10,AJIBU AWAAHIDI MASHABIKI WAKE ATAPIGA GOLI NNE ,SINGIDA WALONGA>>>

Clab ya Yanga Africa imetambiana na wenzao Singida united kuwa yeyote katika mchezo huo anaweza ibuka bingwa endapo azichanga karata zake vizuri,

Aidha Kwa upande wa Yanga wameapa kuibuka washindi katika mchezo huo na wamedai kuwa mshambuliaji wao Ibrahim Ajib naweza funga goli ambazo si chini ya tatu,

Combination iliyopo jangwani inajulikana sana na utawakuta MWASHIUYA,CHIRWA NA AJIB, Wakati katikati utamkuta BUSWITA NA TSHISHIMBI.

Hiki kikosi cha Yanga licha ya kuwakosa wachezaji Muhimu kama NGOMA NA TAMBWE lakini kimekuwa bora kila kukicha sifa ziende Kwa kocha mkuu Lwandamina.

No comments:

Post a Comment