SIMBA KUMNASA KOCHA HUYU KULITHI MIKOBA YA OMONG , MSIMBAZI PACHAFUKA>>> - KASULU WADAU BLOG

Breaking

ONLINE

Monday, November 27, 2017

SIMBA KUMNASA KOCHA HUYU KULITHI MIKOBA YA OMONG , MSIMBAZI PACHAFUKA>>>

Kocha wa wekundu wa msimbazi anakabiliwa na wakati mgum pale ambapo mashabiki wa club hiyo walipokuwa wakidai kuwa hawafai kwa sababu za kutokuwapatia matokeo mazuri,

Baadhi ya mashabiki ambao nimekuwa nikizungumza nao wamekuwa wakisema kuwa

No Comment Omog Out
Kashindwa Kutuonesha Tunataka Nini Katika Ligi Hii.....
Masoud Djuma Awe Kocha Mkuu
Kwa Mfumo Huu Hakuna Ubingwa,Endapo Kocha Na Wachezaji Wameshindwa Kujua Kuitumia Nafasi Hii...
Mpinzani Anapopata Droo Na Wewe Kama Una Mechi Moja Mkononi Huwa Inakuwa Ni Advantage,Hili Likocha Halina Hamasa Kwa Wachezaji Wala Halijui Hilo......
Am So Disappointed With Omog....
Hana Mbinu Mpya Hana.


No comments:

Post a Comment