NGUVU YA MASHABIKI SIMBA YAMBAKISHA MO IBRAHIM MSIMBAZI, OMONG ASHANGAZWA NA KIWANGO HIKI MECHI DHIDI YA PRISON- KASULUWADAU.BLOGSPOT. COM>>>> - KASULU WADAU BLOG

Breaking

ONLINE

Sunday, November 19, 2017

NGUVU YA MASHABIKI SIMBA YAMBAKISHA MO IBRAHIM MSIMBAZI, OMONG ASHANGAZWA NA KIWANGO HIKI MECHI DHIDI YA PRISON- KASULUWADAU.BLOGSPOT. COM>>>>

PRISONS VS SIMBA SC
....
....
....
Uliziona zile dakika 33 tu za Mo Ibrahim Cabaye? Unajua hakuna maisha mabaya hapa duniani kama ya kukariri mambo...pengine zile kelele za mashabiki pande zote za tanzania zinaanza kusaidia hata ungekuwa wewe kila sehemu kila kona watu MO....MO....MO....MO IBRAHIM....sasa kwanini usimpe nafasi....kuna siku niliwai kusema hebu muweke benchi Haruna Niyonzima alafu anza na Mo IBRAHIM...simaanishi Haruna Niyonzima hafai hapana nielewe vizuri....
.
...
...
Mechi na Prisons.....Simba imecheza vyema sana....kuanzia kwenye Defenders....Midfielder hadi Foward.....nani kaiona kazi ya YUSUPH MLIPILI? Anafika muda muafaka ndio beki wa kati unatakiwa kufanya hivyo sifa kuu ya beki wa kati ni kufika kwa wakati hakikisha hesabu zako mapema....Sina shaka na Mlipili niliwai kumtabilia mapema tu hiki nachokiona ndio hicho hicho alichokuwa anafanya kule TOTO AFRICAN....kabra ya kushuka daraja leo alikuwa anakaba vyema yeye pamoja na JAMES KOTEI Kwenye beki ya kati.....PRISONS Walikuwa wakistukiza saana mashambulizi yao na bado yalikuwa na nguvu saana.....lakini YUSUPHY MLIPILI NA JAMES KOTEI walikuwa njema kwenye beki ya kati kwa kila aina ya mpira binafsi wamecheza vyema saana kama si umakini wa Mlipili yule Kimenya angetoka na assist ya goli hii leo.......Sina shaka na Tshabalala tokea kulejea kwake ameludi vyema kwenye kiwango chake bora kabisaa....alijitaidi kuzuia mashambulizi vyema upande ule wa kushoto Jicho la SALUM MAYANGA Bado eti halioni kitu haha.....yeye pamoja na ERASTO NYONI......Hakika wamefanya kazi nzuri sana yani DEFENCE Nzima imefanya kazi nzuri......kwanini defence ilitulia zaidi???? Jibu ni Jonas MKUDE....
........
........
........
Ndio Jonas Mkude ndio ilikuwa dawa kuondoa virus zote hakika Mkude ni kiungo wa chini anaestaili pongezi kwa game ya leo......PRISONS Wana viungo wazuri saana lakini walipata vikwazo toka kwa jonas mkude ambaye alikuwa anatibua mipango yao.....uliona mipira mingapi ambayo mkude kabutua mbele? Mkude ni kiungo ambaye anaituliza team kwa pasi fupi na zenye akiri na analitawala dimba la chini kuja kushoto kwa Tshabalala....au Erasto Nyoni kwa kuchukua mipira na kuanzisha mashambulizi......akisaidiwa na Mzamilu Yassin ambaye alicheza juu ya Mkude kwa game na Prisons anastaili pongezi saana................................................................:..........................................................................HONGERA JOSEPH OMONG UTIMAMU WAKO NIMEUONA..........................................................Joseph omong alianza na Haruna Niyonzima kushoto na kichuya kulia akiwa na maana kwamba mashambulizi mengi yatokee pembeni yes hapa alifanikiwa saana...alafu kati akaweka Mkude...Mzamilu na Kazimoto.....mkude kazi yake ilikuwa kuhold mipira na kuweka kwa mzamilu.....kazimoto kazi ilikuwa moja tu kupiga pass za mwisho na kupiga mashuti makali kama Ndemla angekuwepo bila shaka asingeanza kazimoto........hapa nampongeza JOSEPH OMONG.....Kwani mashambulizi yalikuwa mengi kutokea kushoto kwa kichuya na kulia kwa haruna.....alichokosea bocco kipindi cha kwanza ni kucheza striker yakuhama alitakiwa kusimama zaidi unahama vipi wakati umezunguukwa na kichuya,haruna na kazimoto? Lakini kipindi cha pili alipogundua hilo akafanya kweli na tukapata goli......lakini goli alikuwa analichelewesha yeye mwenyewe.......................................................HONGERA JOSEPH OMONG......Nampongeza tena sub ya haruna out na mo ibrahim in.......ile ni real sub.....umeziona zile dakika 33.....mipira mitatu tu alipogusa tayari kimenya akapata kadi ya njano......Mo ibrahim bila shaka anastaili kuwepo kikosini sio kusubiri dakika mbili ndio aingie......hivi unajua ni rahisi kumzuia Haruna Niyonzima kuliko Mo au huamini? Anyway mo alipoingia alichochea mashambulizi zaidi pande zote za uwanja.....alianza kutokea kushoto kuelekea kati.....akifanya hivyo na kulia pia ambako alikuwa shiza kichuya........Baadae akaingia mavugo kocha alijua anaitaji  matokeo zaidi......una MO....KICHUYA......BOCCO....MAVUGO Adui yako anaponaje? Hapa kocha alikuwa timamu saana......
.
.
.
Kitu cha mwisho.....pale alipocheza james kotei ndio sehemu yake sahihi pakucheza............HONGERA KWA AISH MANULA PIA......

.
.
Nisiandike sana wala......Niskuchoshe......SIMBA NGUVU MOJA......

No comments:

Post a Comment