JE, WAJUA KAMA JEZI ZA SIMBA ILE RANGI NYEKUNDU HUPAKWA KWA MKONO?? NA UKIIGUSA HUBAKI MKONONI?? TIZA PICHA HII - KASULU WADAU BLOG

Breaking

ONLINE

Thursday, November 2, 2017

JE, WAJUA KAMA JEZI ZA SIMBA ILE RANGI NYEKUNDU HUPAKWA KWA MKONO?? NA UKIIGUSA HUBAKI MKONONI?? TIZA PICHA HII

Club ya Simba inasemekana jezi zao hazipiti katika machine za kutengeneza jezi badala yake hutumia mkono kuzitengeneza jezi hizo.


2 comments:

  1. Hapana jezi hitoi rangi isipokuwa ile siku ya mech ya simba na yanga okwi alivaa t-shrt aliyo iyandika kwamaandishi mekundu nabaada yakulowana najasho ikawa inachujia kwenye jez yake.napinga suala la kwamba jezi ukiishika inatoa rangi

    ReplyDelete
  2. Okwii alivalia t-shert nyenye maandish mekundu kwandani ilivyo lowana najasho ile rangi nyekundu ikawa inavujia kwanje

    ReplyDelete