Clubu ya simba imefanikiwa kuiangamiza Mbeya city kwa kuichapa goli moja baada ya mshambuliaji Shiza Kichuya kutupia nyavuni.
Simba wamefanikiwa kufungwa goli hilo baada ya washambuliaji wa mbeya city kujisahau bila kujua kama kichuya yuko nyuma.
Hata ivo kwa hari isiyoya kawaida mwamuzi karuhusu goli ambalo lilikiwa of side kitu ambacho kimeshangaza watu wengi sana.
Endelea kukaa na mimi ili upate habari motomoto.

No comments:
Post a Comment