Klub ya Yanga imeibuka mshindi baada ya kuifunga mbeya City jumla ya goli 5 - 0 . magoli ya Yanga yamefungwa kipindi cha kwanza na kipindi cha pili wakati Mzambia Obey Chirwa akitupia jumla ya goli tatu wakati Emmanuel Martini akitupia kambani jumla ya goli mbili tu.
Ikunbukwe kuwa wiki mbili zilizopita Mbeya City waliwapa wakati mgumu vinala wa ligi ya vodacom Tanzania bara wekundu wa msimbazi Simba kwa kuwabania na hatimae Simba walipata ushindi mwembamba wa goli moja kwa nunge
Mbeya City watajilaum wenye kwani walipata nafasi za wazi na kushindwa kuzifanyia kazi kitu ambacho kiliwagalimu na kutoa nafasi kwa Yanga kufungwa magili mengi namna hiyo na wakizingatia kuwa hii ilikuwa mechi Muhimu sana Kwa.
Yanga walitumia sana makosa ya Mbeya City kwani mabeki walifanya makosa ya hapa na pale kitu ambacho kiliwapa nafasi washambuliaji wa Yanga kutumia yale makosa na kupata ushindi.
Sasa kazi ipo kwa mbeya city kujipanga vizuri kujiwinda na mechi ijayo.

No comments:
Post a Comment