FARIDI MUSSA,SAMATA WOTE WAITOSA STARS, MAJERUHI YAIWALETEA SHIDA>>>> - KASULU WADAU BLOG

Breaking

ONLINE

Thursday, November 9, 2017

FARIDI MUSSA,SAMATA WOTE WAITOSA STARS, MAJERUHI YAIWALETEA SHIDA>>>>

Farid MUSSA nae ataikosa mechi dhidi ya Benin kwa kile anachodai hakupata taarifa ya yeye kuitwa stars, Tulipata kuzungumza na kocha alidai ni majeruhi,

Nahodha wa timu ya taifa Mbwana ally Samata nae ni miongoni mwa wachezaji ambao hawatacheza wa kujumuishwa katika mechi hiyo.

Kasulu Wadau

No comments:

Post a Comment