Klub ya Chelsea imezidi kujiweka kwenye mazingira Ya kubaki kwenye kumi na sita bora ligi ya Mabingwa Ulaya baada ya kuitandika Klub ya Qarabag Fk jumla ya goli 10 kwa nunge.
Katika mechi ya kwanza iliyofanyika Nchini Wingereza Chelsea iliweza kuilaza Klub hiyo Jumla ya goli sita kwa ziro na leo hii Chelsea wameilaza tena Goli NNE kwa nunge,
Shukurani ziende kwa wafungaji wa magoli ya leo HAZARD ambae alifunga goli la penati kifuatia madhambi aliyofanyiwa Willin ndani ya Penat box, Willian nae akitupia goli mbili za uwezo wa hali ya juu bila kumsahau Fabrigas aliefunga goli kwa njia ya penat.

No comments:
Post a Comment