ETI NGOMA TAMBWE LEO HII HAWA TUFAI?????
Mbona tuna chukua akili za wenzetu wa upande wa pili tusiwe hivyo jamani mchezaji kua majeruhi sio sababu ya kutemwa tuna kua kama hatujuu mpira vile nani ana mjua Ziltani pale Man U ana miezi mingapi hadi sasaivi hajacheza je Balle Pale Madridi? Kwanini hawa hawafikiriwi kutemwa kwenye hizo tim kubwa Duniani tatizo soka letu la tz limejaa siasa nyingi na uelewa mdogo wote tunao piga kelele Ngoma na Tambwe watemwe tumeonyesha udhaifu mkubwa wa kulijua soka inaonyesha kabisa wengi ni wazomeaji tu hakuna anae jua thamani ya wachizaji hata mmoja
Sawa je wakitemwa kama mnavyo taka wengi wetu humu ndani unadhani ni mchezaji gani ambaye uta mleta na kuzoea mazingira ya tz kwa haraka kama walivyo zoea Tambwe na Ngoma wote tunajua ugum uliopo kwenye soka letu sio rahisi kuleta mchezaji mgeni wa eneo la ushambuliaji na aka fanya vzr kama alivyo kua ana fanya huko anako toka mfano mzuri ni Chirwa alivyo sajiriwa alikaa miezi zaid ya minne bado haja endana na kasi ya soka la tz je tuko tayari kusubiri miezi zaidi ya mi nne kusubiri mchezaji azoee mazingira ya tz na tushindwe kuwavumilia hawa wachezaji walio tupa ufalme wa soka la tz miaka miwili waliyo cheza pamoja na kutupa mafanikio lukukuki???
Huu ni muda wa kuwaombea wachezaji wetu hawa wa pone haraka na waendelee na majukumu ya kuitumikia timu yetu sisi mashabiki ndio tunatakiwa tuwe kipaumbele kuwaombea na kuwapa faraja ili wapone haraka kwa wakati huu sidhani kama kirahisui uta pata mchezaji mwenye uwezo kama wa ngoma umlete tz na afanye vzr kama yeye alivyo fanya unaweza kubahatisha lakini sio kirahisi kama wengi wetu tunavyo fikiria jaribu kujiuliza kwanini wachezaji hawa wamefeli hapa tz mfano Blaginon Yahaya mohamedi Sheliman Ya Tomathi na wengine wengi wamefeli hapa tz
Kwanini tushindwa kuwa vumilia Ngoma Na Tambwe ambao tayari tunajua uwezo wao tuje tuletewe watu ambao hatu wajui baada ya miezi6 tu tuna anza kusema tena bora wangebaki Tambwe na Ngoma

No comments:
Post a Comment