JUMA ABDUL AWEKEWA NGUMU TIMU YA TAIFA, SALU MAYANGA AMFUMBIA MACHO, YEYE MWENYEWE ASEMA HAYA>>>> - KASULU WADAU BLOG

Breaking

ONLINE

Saturday, November 11, 2017

JUMA ABDUL AWEKEWA NGUMU TIMU YA TAIFA, SALU MAYANGA AMFUMBIA MACHO, YEYE MWENYEWE ASEMA HAYA>>>>

Katika hali ambayo siyo ya kawaida beki wa yanga Juma Abdul hivi karibun amekuwa haitwi kwenye kikosi cha timu ya taifa Tanzania haijajulikana nikwanini mchezaji mkubwa kama huyu anaachwa.

Juma Abdul ni beki ambae amekuwa kwenye kiwango cha hali juu sana kitu ambacho kimewafanya klub ya Yanga kuchukua ubingwa msimu uliopita.

Swali la kujiuliza Salum Mayanga anatatizo lolote na Abdul??

Karibu

No comments:

Post a Comment