mvua kubwa,ikiambatana na upepo mkari imesababisha mahafa makubwa kata kassambya wilayani misenyi,ni shahidu kyagulani misenyi kagera.mvua kubwa ikiambatana na upepo mkar imesababisha maafa makubwa,wilayani humo,ambapo sehemu za taass,nyumba za watu binafs,ikiwemo, migomba,miti,na mazao mbalimbal,imeharbiwa na upepo huo.shule ya msingi bunazi ilioko nje kidogo ya mji wabunazi imeezuriwa,na upepo huo nabaadhi ya nyaraka,kuharibiwa na mvuahiyo,mkuu wa shule hiyo bw baziri,mukama waswa,amesema vyumba 4 vya madarasa,vyumba 6 vya choo za wasichana,zimeezuriwa na upepo huo,sanjar na ofs ya mkuu wa shulehiyo.bw waswa ameelezea .licha ya taasisi nyumba kaza,zimeezuriwa,mabati,kusababisha baadhi ya watu kukosamahala pakuishi,sehemu zilzo adhiriwa na maafa hayo ni pamoja na chakaza,makabrni,kashozb,kufka sasa bado hapajajulkana,madhara yote kwa ujumla,
Monday, April 2, 2018
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment