Gabriel Jesus ndiye aliyefunga bao pekee katika ushindi wa Brazil wa bao 1- dhidi ya wenyeji wake Ujerumani katika mechi ya kirafiki ya Kalenda ya Fifa.
Inakuwa ni furaha kubwa kwa Brazil ambayo iliingia uwanjani na kumbukumbu ya kipigo cha mwisho cha mabao 7-1 dhidi ya Ujerumani mara ya mwisho katika Kombe la Dunia.
Germany (4-2-3-1): Trapp; Kimmich; Boateng (Sule 67); Rudiger; Plattenhardt; Gundogan (Werner 80); Kroos; Goretzka (Brandt 61); Draxler; Sane (Stindl 61); Gomez (Wagner 62)
Brazil (4-3-3): Alisson; Alves; Silva; Miranda; Marcelo; Fernandinho; Casemiro; Paulinho; Willian; Jesus; Coutinho (Costa 72)
Scorers: Jesus 37
No comments:
Post a Comment