Na Nesphory
Kasuluwadau.
Lake Fc ni club iliyoanzishwa kutokana na vugu vugu la club ya Kagera sugar kutokufanya vyema , Baada ya Klub hii kutokufanya vizuri sasa wadau mkoani kagera wameanzisha kampeni ya kuipandisha timu hii ya Lake Fc ambayo hufanya mazoezi katika viwanja vya Shule ya secondary ya Lake view.
Lake Fc ina wachezaji ambao hufanya vizuri hata katika ligi ya mkoa na ligi zingine nyingi hapa mjini Bukoba,
Hata hivyo timu hii imezidi kuimalika baada ya uchaguzi wa viongozi uliofanyika February 11 2018 kwa mujibu wa katiba ya Klub hiyo ili kuifikisha mbali timu hiyo.
Kwa support yako au kama unahitaji kuonana na viongozi hao tafadhari watafute kwa namba hii 0658407202 ili uungane nao katika harakati mpya ya kuhakikisha KAGERA inakuwa na timu zaidi ya tatu ligi KUU
Na mfumo wa uongozi uko hivi
UONGOZI WA LAKE FC
1. MWENYEKITI
FESTO
2. MAKAMU MWENYEKITI
AUGUSTINE (TEACHER)
3. KATIBU
PRUDENCE
4. MHASIBU
KABUGA
5. MANAHODA
1. JUMA (MIDO)
2. SELLE
6. MTUNZA VIFAA
KAMANDA
Wote hawa wako hewani muda wote

No comments:
Post a Comment