Wanayanga wenzangu mimi ni mchambuzi wa maswala ya soka naanza kuchambua. Beki yetu amna kitu kwanza cannavaro kashachoka kacheza miaka mingi aliocheza nao wote washaacha mpira mfano Nsajigwa kashakuwa kocha tunakuja Yondani naye kashachoka awezi kumaliza dakika tisini tukija Dante mda wowote anatoa boko kukaba awez tukija Ninja mda wowote anatoa penati mpira wa kichwa anaweka mguu. Sasa tunaenda kwenye mashindano ya kimataifa tutakutana na timu kubwa kama TP mazembe. Zamarek. Enyimba. Kaiza chifu timu hizo zina washambuliaji wakali kwa hiyo ilibidi tupate beki kama Asante Kwasi kwanza anakaba kwa akili anapanga timu na anafunga mpaka sasa ana magoli nane kwenye ligi ambayo washambuliaji wetu ajibu na chirwa awajafikisha hayo. Ilibdi tumsajili Kwasi kwa garama yoyote angetusaidia kwenye mashindano ya klabu bingwa africa uko kuna washambuliaj wakali na beki yetu mbovu tumemwacha kwasi kaenda simba yani simba wamelamba dume pale ni hayo.
i MIMI MCHAMBUZ WA MICHEZO
i MIMI MCHAMBUZ WA MICHEZO
No comments:
Post a Comment