Dilisha dogo la usajili linafunguliwa jumatano ya November 15 na litafungwa 15 Desember 2017.
Vilabu hutumia kipindi hicho cha usajili kuongeza wachezaji kaika kuimalisha vikosi vyao kuelekea round ya pili ya lala salama.
Yanga ni bingwa kwa misimu mitatu mfululizo,tukishuhudia akibeba ndoo ya ligi ya vodacom Tanzania bara, hiz ndizo nyakati ambazo walifanikiwa kuyatwaa mataji hayo, 2014-15,2015-16,2.016-17 lakini pia wakisimama kama mabingwa wa kihistoria wakilibeba kombe hilo mara 27.
Yanga wanakusudia kuwanasa MAVUGO NA KICHUYA kwa nafasi zilizopo za wachezaji wa ndani.
endelea kutembelea ukurasa wetu ili upate habari nzuri zaid.
No comments:
Post a Comment