SOKA
POSTED 5 MINUTES AGO
Yanga yatangaza hali ya hatari
By Thobias Sebastian
IN SUMMARY
Mabingwa hao watetezi wameshinda kwa mara ya kwanza mabao matano msimu huu
ADVERTISEMENT
ADVERTISEMENT
Dar es Salaam. Kocha msaidizi wa Yanga, Shadrack Nsajingwa 'Fusso' amesema wakati wanaanza ligi walikuwa hawatengenezi nafasi nyingi za kufunga lakini sasa mambo yamejipa.
“Tulifanyia kazi suala la kutokutengeneza nafasi na tukalimaliza likajitokeza tatizo lingine la washambuliaji wetu kutokufunga na kukosa nafasi nyingi za wazi.
“ Tuliwapa mbinu za kuweza kutumia nafasi hizo na kuanza mechi hii ya Mbeya City wameweza kufanya yale ambayo tunahitaji kutoka kwao,” alisema Nsajigwa ambaye alistaafu Yanga kwa heshima.
Mchezaji huyo aliyewahi kung'ara na Prisons na Moro United aliongeza kuwa; “Mwanzoni timu ilikuwa haipati ushindi wa mabao mengi lakini kwa sasa kikosi chetu kinaanza kufunguka na kupata ushindi mzuri ni matarajio yetu tutaendelea hivi hivi kwa sababu lengo letu ni kutetea ubingwa msimu huu.”
ADVERTISEMENT
ADVERTISEMENT
NEXT IN SOKA
MO Ibrahim aikacha Yanga
Kwenya habari
POSTED 15/10/2017
Sanga mwenyekiti mpya Kamati ya Uongozi Bodi ya Ligi
Mgombea Clement Sanga ameibuka mshindi wa nafasi ya mwenyekiti kwenye Uchaguzi wa Kamati ya Uongozi ya Bodi ya Ligi
POSTED 25/9/2017
Simbu adai matokeo ya Berlin Marathon hayamshangazi
POSTED 25/9/2017
Timu tatu zachanua Ligi Daraja la Kwanza
POSTED 8/8/2017
Mulamu ni Tanzania Kwanza
POSTED 8/8/2017
Shija, Mayay kuliamsha leo Dar
POSTED 8/7/2017
Malinzi apata pigo lingine Kamati ya uchaguzi TFF yamuengua
DESKTOP VIEWBACK TO TOP
Soka
KASULUWADAU.BLOGSPOT. COM

No comments:
Post a Comment