Baada ya kukaa bench mara kwa mara sasa Mo Ibrahim kufuata nyayo za akina samata.
Hivi Simba tunapomuweka mo ibrah benchi hadi dk za mwisho tunategemea nini kwasababu kila nikitafakari Mimi ka shabiki wa Simba sielewi kinachoendelea wapo wachezaji wengi2 ambao tumewasajili kwa pesa tena nyingi lkn wanasugua benchi hawajui hata ladha ya ligi kuu msimu huu ijapo bado unaendelea lkn nyota njema huonekana asbh kwa mfano Jamal mambeleo, bukaba, mnyate na wengineo wengi2 ambao siwezi kuwaorodhesha wote hapa hivyo kama hatutobadilika tutawakatisha tamaa wachezaji kusajiliwa na hivi vilabu vikubwa mtu ataona bora asajiliwe hata kama ni hivi vilabu vidogo lkn anajua haendi kuua kipaji maana mtu kama Mpira ndo kazi yake hii ukizidi kumuweka bench hatimae hata kiwango chake kinashuka
No comments:
Post a Comment