HAMIS TAMBWE NJIAPANDAAA, LWANDAMINI KUJA NA MBADALA WAKE,SIMBA MAWAZO MAWAZO USIKU KUCHA>>>> - KASULU WADAU BLOG

Breaking

ONLINE

Wednesday, November 8, 2017

HAMIS TAMBWE NJIAPANDAAA, LWANDAMINI KUJA NA MBADALA WAKE,SIMBA MAWAZO MAWAZO USIKU KUCHA>>>>

MSHAMBULIAJI WA MWISHO NI TATIZO KWA KLABU YA YANGA KUELEKEA KWENYE MASHINDANO YA KIMATAIFA.

Kwa vipindi vitatu ambavyo Young Africans toka ufalme wa Mholanzi hadi huu wa Mzambia ambae aliongoza timu msimu uliopita akimpokea Pluijm.

Usajili wa Amis Tambwe kama mshambuliaji wa kigeni katika timu hiyo umekua msaada hasa katika league ya ndani lakini kwa match za kimataifa bado mrundi huyo haja tosha kusimama kama mshambuliaji wa mwisho na akatekeleza majukumu yake ipasavyo.

Mchezaji wa ambae anapaswa kusimama kama mshambuliaji wa kati (9) ni yule ambae ana height na physique ya kutosha,mwenye kasi na jicho la mpira,mpambanaji na anae jituma haswa.

Yanga kwa misimu miwili walikuwa wanajaribu kumsajili mzambia Winston Kalengo wa Afc-Leopard ya Zambia lakini hawakuweza kufanikiwa kunasa saini ya mkali huyo ambae alivuma vilivyo huko na kwenye timu Taifa ya nchi hiyo pia.

Donald Ngoma na Obrey Chirwa wote sio washambuliaji wa mwisho in nature.Donald ni second stricker (kiungo mshambuliaji) ambae anapaswa kucheza nyuma a top straicker.Obrey nae pia ni kiungo mshambuliaji lakini mara nyingi akiwa mzuri akitokea pembeni upande wa kushoto au kiungo mshambuliaji pia.

Yanga wanapaswa kulifanyia kazi hili kabla hawaja ingia kwenye mikiki mikiki ya mashindano ya klabu bingwa barani Africa.

~…Ni wazo tu.

No comments:

Post a Comment