UKOSEFU WA UMAKINI KATIKA MECHI ZA YANGA NA SIMBA HAYA NDIO CHANZO>>>> - KASULU WADAU BLOG

Breaking

ONLINE

Thursday, November 2, 2017

UKOSEFU WA UMAKINI KATIKA MECHI ZA YANGA NA SIMBA HAYA NDIO CHANZO>>>>



…~•••Mwl Kashasha na goli la Obbrey Chirwa dhidi ya Simba.

~…Magoli kama haya mara nyingi,baada ya kufanga ukafungwa yanaitwa "zero standard return goal" kwa maana kwamba kulikuwa hakuja fanyika chochote kwa hiyo wachezaji wa simba walikuwa bado wapo chini na hawajarudi kwenye mood  ya mchezo.

~…Raphael Daudi na combination ya Pappy Tshishimbi ambao wanacheza pacha pale kati na hao wote wanacheza box to box midfield,alipiga mpira kama ni volley/ semi-volley mpira wa ovyo ovyo hivi ukaenda kwa Ajib ambae ni mchezaji mwenye lequent za kutosha,mchezaji mwenye jicho la mpira.

~…Ibrahim Ajib akapiga pass fulani hivi aina ya "break ways" ikapita katikati ya mabeki wa simba ikamkuta Mwashiuya katika ng'ambo nyingi.

~…Alichokifanya Mwashiuya akapiga "down lay-on pass" na Chirwa akawa anakwenda kama straicker namba moja na kukutana nayo "The ball in the space, The man in the space,The ball in the match".

Namuelewa sana huyu mwalimu.Na kila siku ananifanya nipende kufahamu mengi kuhusu football.

Huu utundu wa kuchezesha vidole na kushughulisha ubongo umekuja baada ya kujifunza mengi toka kwake.

Asante sana mwl Theogenes Alex Kashasha, bado najifunza mengi sana kutoka kwako.
Mungu akupe maisha marefu mwl wangu.

No comments:

Post a Comment