YANGA WAENDELEA KUJIFUA ILI KUWAKABILI TOWNSHIP HUKO BOTSWANA>> - KASULU WADAU BLOG

Breaking

ONLINE

Thursday, March 15, 2018

YANGA WAENDELEA KUJIFUA ILI KUWAKABILI TOWNSHIP HUKO BOTSWANA>>

Baada ya kutua salama Botswana, kikosi cha Yanga kimeanza kujfua kuelekea mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Township Rollers utakaopigwa Machi 17 2018.

Tazama picha mbali za matukio namna Yanga walivyofanya mazoezi jana.




No comments:

Post a Comment