halmashaur wilaya misenyi imetoa mkopo kwa mlemavu wa viungo vya miguu wenye thamani ya tsh 6,95ooo.NISHAHIDU KYAGUlANI MISENYI
selestini valeliani mkandara mkazi wa kotongoji kashoz bukoba kijiji kassambya , wilaya misenyi mkoani kagera
Ambaye ni mlemavu viungo vya miguu aliyepewa mkopo huo wakati wa kikao cha baraza la madiwani halmashaur wawilaya misenyi
Akikabidhi pesa hiyo mwenyekiti wa halmashauri wilaya misenyi mkoani kagera Porojestus Tegamaisho amesema mkopo huo utamsaidia bwana huyo kuendeleza shugul zake za ujasilia mali.
Bwa, tegamaosho amesema pesahizo zimetolewa na halmashaur hiyo ikiwa ni moja ya taratbu za serkal kutenga aslmia kumi kwa akna mama na vijana kuwapatia mikopo.Akipokea pesa hizo bw,Serestini valeliani alishukru halmashaur hiyo kumpatia mkopo huokua atanunulia vitendea kaz,vyake nakurudisha baadhi ya vifaa alivyo ibiwa vyenye thamani ya milion moja raki sita na tisini natano alf.naakasisitiza kua atardisha fedha hizo kwa mda muafaka.bw selestni ambaye nifund wa viatu,mikanda,na uchomoleaji wazana mbalmbali.ameelezea changamoto kubwa alio nayo kua ni ktokua na mtaji wa ktosha kukamilsha malengo yake,na akazd kutoa shukran kwa wahisani na viongoz wa serikal na wawakilshi akiwemo mbunge jimbo la nkenge baroz kamara,kupitia mfuko wa jimbo uliweza kumpatia tenda ya kutengeneza baiskel za walemavu bwa sherestini ni moja yawatu wanojimudu kimaisha kuzd baazi ya wenye viungo vyote vya mwil na licha ya ufund pia anajiusisha na utunzaji mazingira,ambapo amewahi kupewa zawadi ktokana nautunzaji mazingira.juu ya watu wenye uremavu bw shere ambaye pia ni katibu wawenye ulemavu wilayani nisenyi amesema ulmavu viungo sio ukisefu wa maisha msingi nukujitma kimaendeleo bila kukata tamaa.

No comments:
Post a Comment